December 06, 2008

maandalizi ya Noeli, karibu

kambale bwana, unakumbuka utamu wake? kwa wale wasiomla poleni huyo ndiyo kambale toka BABU hadi Mjukuu wanakula. ERIK UMEWAHI KULA KAMBALE WEWE? mwambie mama asiwe na roho mbaya hivyo akutafitie huko Uswidi , mkikosa njoeni nyasa

2 comments:

  1. Bahati mbaya kwani hata mama yake hali kambale ila angekuwa mbufu hapa sawa. Tena mbufu tulimla mwaka jana Mbamba-by. Sisemi sana usije ukawa ugomvi hapa

    ReplyDelete
  2. Jamani Erik mbona hajasema kama anakula? au mama yake analazimisha vitu ambavyo hawavitaki?

    ReplyDelete

Maoni yako