January 01, 2009

20009+ YASINTA+ Wanablogu


2009 Pamoja daima.Wanablogu wote Nawatakieni mafanikio mema zaidi.Na kudumisha maendeleo ya Blogu zetu.Nimefurahi zaidi kwani jana nilikuwa na mwanablogu dada Yasinta,na kupiga gumzo la hapa na pale.Anatuandalia kitu kingine;tanzaniaresan2009.blogspot.com
NAWATAKIA SAFARI NJEMA.
ZIDUMU BLOGU ZETU na WANABLOGU DAIMA

5 comments:

 1. Kila la kheri kwenu nyote. Natumai hamu ya kumuona ishaisha sasa. Lol
  Blessings

  ReplyDelete
 2. Tunakingojea hicho kitu kingine kwa hamu.

  ReplyDelete
 3. Mzee wa Changamoto upooooo! mkuu! nadhani unajua HAMU ikikolea inapitiliza neno lenyewe, kama ujuavyo kuwa mtu ukiwa na FURAHA unashindwa kuielezea furaha yenyewe. Lakini usijali sana ni vijimambo tu ambavyo kila mwanadamu lazima amfurahie mwenzake ndiyo changamoto yetu kubwa.

  Kaka Kaluse, usijali kuhusu hiyo namuaminia sana Dada Yasinta kwahiyo usitie shaka kitu kilianza kwanza awali nami nilibahatika kiasi kuona mwanzo wake. Lakini sasa mambo yatakuwa matamu zaidi kwani dhamira ikishinda hata msuli unafunga! ha ha ha ha. sasa anakunywa ULANZI na KITIMOTO hapa Ruhuwiko kwa Matiasi, aaaaah

  amani iwe nanyi nyote

  ReplyDelete
 4. Ni furaha kufahamu kuwa wanablogu wamekutana na kusabahiana.
  Nafurahi kuwa nawe bw Markus katika mwaka huu.
  Ninafahamu fika kuwa utaendelea kuniliza kwa picha za vyakula mbalimbali hasa samaki na matunda!
  Markus - Heri ya Mwaka Mpya!
  Endelea kufanikiwa!

  ReplyDelete
 5. Heri ya Mwaka Mpya nawe

  ReplyDelete

Maoni yako