January 03, 2009

Mandhari na Maudhui

Uzuri, Maudhui na Mandhari ya maeneo ya milima ya kaskazini mwa mbamba bay. yaani toka maeneo ya Kilosa, Matenje, Kwambe, Ng'ombo, Chamate, Linda, na mengineyo. Miinuko na vilima

3 comments:

 1. Ni mandhari nzuri kwa kweli. Lakini unadhani kwa mwendokasi wa uharibifu wa mazingira ama kwa kutoyajali kama ilivyo sasa unadhani tutaweza kuyaona mandhari haya kwa muda mrefu? Basi tuongelee mandhari sasa, kisha tukimaliza tuongelee namna ya kuyaweka yawe kama yalivyo ama yawe bora zaidi.
  Blessings

  ReplyDelete
 2. Kuzuri kunavutia,
  Sichoki kuangalia,
  Nami napatamania,
  Kwetu sisi pangekuwa.

  ReplyDelete
 3. Ni mazuri yamenikumbushia Nyumbani kwetu kabisa ambapo kuna madhari kama hayo, asubuhi ikifika ndege hukuamusha kwa nyimbo nzuri lakini huku mjini asubuhi unaamushwa na mlio mibaya ya honi za magari na miungurumo ya hapa na pale yaani ovyo kweli huku wala hatufaidi chochote kabisa.

  ReplyDelete

Maoni yako