January 22, 2009

tunaweza, ndiyo mapenzi yetu


hapa hakuna kuremba wala kuleta utata. Vipi unatuonaje tulivyo? Tunafanana na wengie au siyo, lakini kweli si unajua maisha ni tofauti au? poa basi angalia sana tena mpaka picha itoboke halafu nipe jawabu

5 comments:

 1. wacha weee!!!!!!!!
  kazi ipo!!!!!

  ReplyDelete
 2. Kila nikifungua hii blog inanikumbusha nyumbani,asante sana kwa kutukumbusha tulikotoka.picha nzuri sana.
  mdau Canada.

  ReplyDelete
 3. karibu sana mgeni wetu, lakini usisahau nyumbani hata kama porini au vipi

  ReplyDelete
 4. Kaka yangu Markus sio rahisi kusahau nilikotoka kabisa nyumbani ni nyumbani kama ulivyosema.kazi njema.
  mdau Canada.

  ReplyDelete

Maoni yako