Dada Koero sfi sana kama unajua kucheza ngoma hii. Najua sasa hivi dada Yasinta hakamatiki maana anapenda sana ngoma kama hizi. Yaani usiache kucheza au ndiyo ukubwa kwahiyo unaona noma. nakwambia mimi hapa ni full kujiachia tu yaani likipigwa ligambusa usisema na huu mganda kabisaaaaaaaa.
Kaka Simon naona swali hilo dada Koero atajibu maana anajua pengine sababu ni nini
Ni mara yangu ya kwanza kutemebelea katika blogu hii ya kunyumba nyamani utamuuuu!!!. Lakini hizi picha hazielezi ni za wapi huko nyasa: makonde,lupingu,manda,liuli,njambe, nkili,mbambabay au wapi!!!!! Naomba ndugu moderator uwe unaainisha picha zako kwa maeneo zilikopigwa, tafadhali!!! NAOMBA KUWAKILISHA.
Kaka Mpangala umenikumbusha wakati nikiwa sekondari nilicheza sana hii ngoma.
ReplyDeleteTulikuwa na mwalimu wetu mmoja mwenyeji wa Songea alitufundisha hiyo ngoma tukawa tunaicheza wakati wa sherehe mbalimbali za shule na za kiserikali.
Nakumbuka mwalimu huyo alikuwa ananisifia sana kwamba naipatia hiyo ngoma utadhani nimezaliwa Songea.
Bomba sana!Lakini mbona akinadada hawapo katika ngoma? Au ndio wazee wazima mnaonyesha maringo yenu akinadada wachague?:-)
ReplyDeleteDada Koero sfi sana kama unajua kucheza ngoma hii. Najua sasa hivi dada Yasinta hakamatiki maana anapenda sana ngoma kama hizi. Yaani usiache kucheza au ndiyo ukubwa kwahiyo unaona noma. nakwambia mimi hapa ni full kujiachia tu yaani likipigwa ligambusa usisema na huu mganda kabisaaaaaaaa.
ReplyDeleteKaka Simon naona swali hilo dada Koero atajibu maana anajua pengine sababu ni nini
Sina jibu kwa kaka Kitururu.
ReplyDeleteAnaejua anisaidie.
Ni mara yangu ya kwanza kutemebelea katika blogu hii ya kunyumba nyamani utamuuuu!!!. Lakini hizi picha hazielezi ni za wapi huko nyasa: makonde,lupingu,manda,liuli,njambe, nkili,mbambabay au wapi!!!!!
ReplyDeleteNaomba ndugu moderator uwe unaainisha picha zako kwa maeneo zilikopigwa, tafadhali!!! NAOMBA KUWAKILISHA.
HIYO NI NGOMA YA AKINA BABA NA VIJANA WAKINA MAMA YAO NI CHIODA...ONE DAY BLOGGER ATAILETA...!!
ReplyDelete