August 23, 2010

MAISHA YAPO SAFARINI.......

Basi la Sumry sambamba na gari la mizigo
Pale maisha yanaomaanisha tunapambana kwa njia tofauti. Lakini kwanini tupambane na maisha wakati hatuishi ili kupambana?? Kwanini nitoe nafasi wakati hakuna anayenipa nafasi?? MAWAZO maisha SAFARINI....

1 comment:

  1. Mimi ningeonelea itumike hivi, `kupambana na vikwazo vya maisha' kwasababu kama tunapambana na maisha, ina maana tuna uadui na maisha yetu wenyewe, au sio, hata kama sio uadui wa kutoana ngeu lakini `kupambana' inaonyesha `kupingana kwa namna fulani.
    Kila mtu ana mtizamo wake wa kimaisha, na tuna malengo ya kufikia hatua fulani, ili kuboresha maisha yetu, na katika kufanikiwa hili, kila mmoja anapitia njia fulani, wengine wanaenda kwa haraka zaidi kama magari, wengine kama pikipiki, wengine TZ 11, YOTE MAISHA.
    Kwanini tunapambana na maisha, hatupamban nayo ila tunapambana na vikwazo vya maisha ili safari yetu ifike kule tulikojiwekea malengo. Maisha yapo palepale, ilimradi upo hai!

    ReplyDelete

Maoni yako