August 04, 2010

TANGAZO LA NIA????

usiniulize, angalia tu

Kama unaweza kubaini hebu niambie hawa ni nani? Na je ni Tangazo la Nia au? Hii ilitokea pale hoteli la kibepari karibu na nyumba ya sanaa. Linaitwa Moven-kilele a.k.apeak a.k.a pick ilikuwa ijumaa iliyopita. Je ni tangazo la nia??? ha aha ha ha ha ha ha ha Nimewakamataaaaaaaaaaaaaa

1 comment:

  1. Kama nilivyoangalia picha nyingine nadhani hapo ni Mtani Fadhy na mdogo wangu Faith. Kama ni tangazo la nia sijui!!

    ReplyDelete

Maoni yako