December 16, 2010

HUYU HAPA FREDDY MACHA

Niliwahi kuahidi kuwa nitaweka mahojiano yangu na mzee wangu kipenzi Freddy Macha. Nilisema hilo kutokana na kuwepo kwa mradi wa Kiswahili Society ambao kwa kweli ulinivutia na kuomba uanachama wake. Nashukuru rais wa mradi hakusita kuwasiliana nami.

Hebu nenda hapa USOME ZAIDI
Bado nina matumaini pia ya kuzungumza na rais wa mradi huo bwana Jason Taffs, inshallah mungu akijalia.

3 comments:

 1. Namheshimu sana tu huyu mtu!

  ReplyDelete
 2. Freddy ni mtu mwenye vipaji vingi, hasa katika muziki na uandishi. Kwa kutumia muziki, amekuwa balozi mzuri wa nchi yetu. Ametuwakilisha kuanzia Amerika ya Kusini hadi Ulaya.

  Ni kati ya waandishi bora kabisa wa Tanzania ya leo. Mbali ya hadithi za ki-Swahili, na insha kwa ki-Swahili na ki-Ingereza, Freddy amechangia kuipa jina Tanzania katika uandishi wa mashairi ya ki-Ingereza.

  ReplyDelete
 3. Inafurahisha na kuletesha moyo kuwa na watu kama Freddy kwa jinsi anavyo ifanya Tanzania yetu:

  ReplyDelete

Maoni yako