December 23, 2010

SIKUKUU NJEMA WANABLOGU WOTE WAHUSIKAO

Ningelichagua neno jema, basi lingekuwa AMANI  IWE NANYI. Kama ningelichagua neno baya basi ni WEWE MWANABLOGU UKIUGUA SIKU HIYO. Nawatakia mafanikio zaidi na Imani yangu iwe nanyi.
TULIPOKWARUZANA tuseme kwa pamoja. UPENDO ni jambo muhimu sana.
nakuambia neno hili la sikukuu. MIMI NINAHITAJI SANA UWEPO WAKO WEWE MWANABLOGU. BILA WEWE NISINGELIKUWEPO HAPA KUBLOGU.

4 comments:

 1. Nami nasema Kristu....na wewe unahitaji kuuitikia kitu hapo kweny deshi jaza neno. NOEL NJEMA NAWE MZEE WA LUNDU NYASA:-)

  ReplyDelete
 2. Sikukuu njema wewe na familia yako . Natumai amani zitatawala nyoyo zetu na upendo uwe dira yetu!

  ReplyDelete
 3. Mheshimiwa Paroko Kadinali, Mwanafalsafa na Mchambuzi wa Lundu Nyasa. Kila la heri kwako wewe pamoja na familia yako kwa mwaka huu mpya ulioanza. Hebu na ukawe na mafanikio yasiyopimika. Mbarikiwe hadi utimilifu wa dahari!!!

  ReplyDelete
 4. Nawe pia uwe na Sikukuu Njema.MUNGU AKUBARIKI DAIMA.

  ReplyDelete

Maoni yako