January 13, 2011

NIPO SANA

KUNRADHI WAUNGWANA. INAONEKANA NAKOSA ADABU KWA KUTOTOKEA HAPA DIMBANI KWANGU, LAKINI PILIKA ZA JANUARI ZIMENISHIKA. NITARUDI PUNDE. POLENI RAFIKI ZANGU MNAONITAFUTA KUPITIA SIMU, UKWELI HATA SIMU SIJIHUSISHI NAYO. TUTAKUTANA KATIKA BARUA PEPE. NITARUDI NGOJA NIUSAKE UANAZUONI ZAIDI.

NAWAPENDA SANA, NAAMINI NINYI MWANIPA FURAHA

5 comments:

 1. Umefanya jambo la maana kuja kutusalimia usiwe na shaka pilika za maisha kwanza na pia hapa kibarazani baadae. Hata tete tikuganili sana tu mwenga:-)

  ReplyDelete
 2. shemeji ndo hata hupokei simu?

  ReplyDelete
 3. Anonymous01 May, 2012

  Maisha ya kuwa na fani moja ni noma

  ReplyDelete
 4. Anonymous01 May, 2012

  Nimeomba ruksa kazini nimepewa nipo nyumbani nimejipunzisha mboro imedinda nyege zimenishika demu sina,ninajuta

  ReplyDelete

Maoni yako