January 24, 2011

KUFIKIRIA KULA UGALI NA HARUFU YA SAMAKI!!

Yasinta naye kwa mitego,
Yasinta kwa mapozi yupo,
Yasinta kwa faraja yupo,
Yasinta kwa malezi wamo,
Yasinta kwa miondoko, ipo,
aaah!! rafiki yangu nawe umo,
Na kwakuwa umo, basi nao wamo,
Ngoja, katika kufikiria kula ugali na harufu ya samaki Mbasa! Lol!
Shukrani kwa picha Blogu ya  MAISHA NA MAFANIKIO pamoja na VANGONI

5 comments:

 1. Ha ha haaaaaaaaaaaaa! mwenga yaani nimecheka mpaka ....Ila umesahau mimi napenda sana magege au mbofu na bila kusahau vitui......uniwezili kweli ...:-)

  ReplyDelete
 2. Yasinta huyooo kapewa sifa.....
  Huyo mwingi wa maarifa.....
  heeee mistari imegoma....

  ReplyDelete
 3. Mwanadamu huwa ni sifa, sote tunahitajia
  Hata ukiwa taifa, utataka udunia
  utajenga maarifa, usanii kujivia
  sisi sote twapenda usifa, sifia na usifiwe

  ReplyDelete
 4. hakika anastahili sifa, kwakuwa yu mtanashati.
  Tabia hata mavazi... Ni nani asiyejua hilo???

  ReplyDelete

Maoni yako