Na wanajua utamu wa lugha ya Kiswahili ndiyo maana wanajikita katika kujua na kuhitaji sura mpya ya jamii. Ni katika kujua tamaduni,lugha,mila na desturi za Kiswahili. Picha ya ya juu ni wadau wa SOAS(School of Oriental and African Studies) pale London. Katika picha hiyo walikuwa Zanzibar. Na picha ya chini ni katika kuifurahia ile ladha ya kiswahili, na jumuiya yenyewe. Kswahili lugha tamu.
PICHA; kwa hisani ya SOAS.
Salaam, Ndugu Markus Mpangala
ReplyDeleteKwanza niseme asante kwa kunikumbusha Nyasa na hii blogu yako. Niliwahi kufika Ziwa Nyasa kutoka Johannesburg kwetu mwaka 1982 na eneo hilo lenu nilifurahia sana: labda kwa sababu baba yangu mazazi ni mzaliwa huko huko upande waMalawi lakini (Rumphi au Mzimba).
Kuhusu posti yako hii, natoa hongera sana kwa wanao ongea lugha yaKiswahili. Inaelekea utamaduni wao imara kabisa. Mtu asiyekuwa na utamaduni au kujigamba nao ni sawa tu na kile Wazungu wanachosema ZOMBIE (marehemu aliyefufuliwa tu na mchawi ila awe kama mtumwa wake).
Kwa hiyo, posti yako ni nzuri kweli!
Kweli kiswahili ni moja ya utamaduni wetu ambao angalau kila mtu anao, hasa Afrika mashariki, na kati...sasa kama imefikia hatua ya kupata wadau, basi nasisi tuonyeshe mfano...Mkuu shukurani kwa tarifa hii.TUPO PAMOJA
ReplyDeletenimefurahi zaid kuona mambo mzuri kama hayo
ReplyDelete