August 16, 2011

NYUMBANI NI NYUMBANI

HIKI KIBAO KINACHOELEKEZA SHULE YA MSINGI LUNDU. Ndiyo unaingia mitaa ya Missionary au Maliwa, alikokulia mzee wa blogu hii

2 comments:

  1. KWELI NYUMBANI NI NYUMBANI .... mie mpaka wivu kwani sijakipata kibao kama hicho...yaani kule nilikokulia:-)

    ReplyDelete
  2. Kweli NYUMBANI ni NYUMBANI!
    Ingawa sanyingine nyumbani hukimbiwa na mapenzi yako Migombani hata kama ni katika uchochoro wa karibu na nyumbani!:-(

    ReplyDelete

Maoni yako