September 13, 2011

URAFIKI HAUSOMEWI VYUONI JAMANI

Dada Yasinta, Erik na Mzee wa Lundu. Ni baada ya soga za hapa na pale katika kunogesha siku kabla ya kuondoka Bongo

3 comments:

  1. ni kweli urafiki akuna kusemea...

    ReplyDelete
  2. wewe hi blog gani hata picha haina?,tulitegemea kuona sura tofauti kutoka nyanda za juu kusini ambazo hakika zinavutia sana,sasa wewe markus huna kamera au vp? au ilmradi na wewe una blog,dunia imebadilika kila siku tunahitaji vitu vipya kama huwezi ni bora kutokuwa na blog,acha ujuaji wa kitanzania tafuta habari na kuifanya blog yako iwe ya kisasa zaidi nawakilisha

    ReplyDelete
  3. ANZISHA BLOG YAKO. HUNA MAMLAKA YEYOTE KATIKA BLOG HII AMBAYO IMEJAA PICHA KEDEKEDE. NILIWEKA PICHA HII WKAKUWA HUYU NI MIONGONI MWA WATU WENYE HISTORIA YA NYASA. IKIBIDI ACHANA NA BLOG HII YA KIZAMANI ANZISHA YAKO, UJIFURAHISHE KAMA MIMI NINAYE KATAA MABEPARI ALIOOMBA MIAKA MIWILI KUWEKA MATANGAZO HAPA, ILI IWE SEHEMU YA VUNA VUNA

    ReplyDelete

Maoni yako