September 21, 2012

NISEME KIFUPI TU: NIMERUDI NYUMBANI KWANGU HAPA NYASA. Naamini nitapokelewa kama ilivyoada, baada ya kupotea. Sasa, nimerejea.

4 comments:

 1. Maisha na Mafanikio inakukaribisha kwa furaha na mikono miwili kwani tulikumiss mno. KARIBU SANA KWA MARA NYINGINE.

  ReplyDelete
 2. nashukuru sana rafiki ynagu mkuu. nina mengi na safari hii nitakuwa na kitu cha ziada zaidi.

  ReplyDelete
 3. mkono kichwani wa nini tena?

  ReplyDelete
 4. ilikuwa katika kuonyesha nimefikiria sana na kuamua kurudi kijijini kwangu hapa

  ReplyDelete

Maoni yako