April 30, 2013

MBUNGE WA JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI AENDELEA NA MIKUTANO

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi amendelea na mikutano yake kila kata ili kuhamamisha wananchi kujiletea maendeleo. Hatua ya mbunge huyo ni kutokana na uzinduzi ramsi wa wilaya Nyasa mabayo ni wilaya mpya katika mkoa wa Ruvuma.

Miundo mbinu ni moja ya mambo yanayojadiliwa kwa kina na wananchi wa wilaya hiyo
wadau wa wilaya ya Nyasa waliojitokeza kuzungumza na mbunge wa jimbo hilo alipofanya mkutano na wenyeji wa wilaya ya Nyasa wanaoishi jijini Dar es salaam.
Wavuvi wakitayarisha nyavu kwa ajili ya kuvua samaki.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako