May 31, 2013

MAENEO YANAYOVUTIA UTALII WILAYA YA NYASA

Shughuli za Uvuvi ni muhimu ikiwa ni sehemu ya kujipatia maendeleo kiuchumi
Mbamba Bay inavyoonekana kwa mbalii

Dagaa, kitoweo kizuri sana kinachopendwa Nyasa. Karibu sana Nyasa
Fukwe nzuri sana Nyasa. Karibuni Mbamba Bay
Mtalii akijumuika na wenyeji

MAENEO YANAYOVUTIA UTALII WILAYA YA NYASA

MANDHARI YA NYASA

Mhhhh Nyasa ni sehemu inayovutia sana na ina kila kitu. Cjui nisemeje, kwa mfano NYASA KUNA ROUND ABOUT kuliko hata Songea. Ila ngoja TUTAWEZA TU. hapo ni stendi yetu kuu Mbamba bay.

PICHA Na Vitus Matembo, Mbamba Bay

1 comment:

  1. Ahsantee sana kaka, yaani NAPATA HARI ya kuwa Nyumbani kila nipitiapo hii blog yako. "PAMOJA TUIJENGE NYASA".

    ReplyDelete

Maoni yako