May 31, 2013

MUHTASARI WA MATOKEO MAPYA KWA BAADHI YA SHULE ZETU WILAYA YA NYASA


Na Vitus Matembo
*NYASA SEC: DIV I-III=0, DIV =7, FLD=30.

*UNBERKANT: DIV I-0, DIV II=1, DIV III=0, DIV IV-13, FLD=35.

*LIMBO: DIV II-1, DIV III-1, DIV IV=12, FLD=48.

*MBA BAY: DIV IV=13,
FLD=71.

*LUNDO: DIV III=2, DIV IV=13, FLD=93.

*ST.PAUL'S:DIV III=3, DIV IV=30, FLD=83.

*MANGO: DIV IV=6, FLD=67.

*LITUHI:DIV III=1, DIV IV=23, FLD=36.

HIVYO SHULE HIZO KWA UJUMLA ZINA DIV 1=0.
DIV II=2(0.33%).
DIV III=7(1.18%).
DIV IV=117(19.86%).
FLD=463(79%).
FULL MAUMIVU JAMANI.Sijui wewe Mnyasa Mwenzangu unamaoni gani?.
 
WALIOFELI KIDATO CHA NNE WAULA, UFAULU SASA WAONGEZEKA;
watahiniwa 82,000 waliopata sifuri, wamepata madaraja ya ufaulu. Hivyo watahiniwa wa mwaka 2012 wamefanya vizuri zaidi ya 2011. Matokeo kutoka wiki hii pamoja na ya form 6.(source;mwananchi magazine)
NINI MAONI YAKO MDAU MWENZANGU MPENDA MAENDELEO?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako