May 31, 2013

IJUE WILAYA YA NYASA KITAKWIMUNa Vitus Matembo, Mbamba Bay
 Nyasa ni wilaya mpya ambayo inaongozwa na DC ERNEST KAHINDI. Kabla ya kwenda Nyasa alikuwa Dc wa Biharamulo.
..Nyasa inatarafa Tatu(3); Mpepo, Ruhekei na Ruhuhu.
..Nyasa inatakribani kata 18 ambazo ni;
*Lituhi: lituhi,kihune,mwera mpya,na ngingama.
*Mbaha;ndumbi,mbaha na lundu.
*Ngumbo; kihanga,ngumbo,mkili na Yola.
*Liuli; Liuli,puulu,Hongi,Nkalasi,Yumbu na Mkali.
*Kihagala;Mango,tumbi na kihagala.
*Lipingo;lundo,lipingo,Ngindo...
*MBAMBA BAY; mba bay,ndesule,ndengele,chinula na mbuyula.
*Kilosa;Kilosa,nangombo na likwilu.
*Kingelikiti
*Tingi
*Chiwanda; Chimate, Ng'ombo.
*Mtipwili;
*Luhangarasi
*Liparamba
*Liundi
*Mpepo
JUMLA YA WAKAZI kwa mujibu wa sensa 2012 ni WATU 146,000.
Shughuli yetu kubwa ni Kilimo,uvuvi,ufugaji na Biashara.
ZIWA NYASA NDIO NGUZO YETU YA KIMAENDELEO.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako