September 10, 2013

NAFASI NYINGINE ZA AJIRA JKT KWA WANYASA KUPITIA SOKATimu ya soka ya JKT mlale ya songea inafanya ziara ya kimichezo wilayani Nyasa. Sasa wanacheza na MBAMBA BAY YOUNG STARS F.C, kesho STAND F.C na Keshokutwa watakuwa LIULI. Lengo ni kutafta vipaji ambao wataingia JKT moja kwa moja!. Wenye kijani ni JKT na nyekundu ni Young F.c
No comments:

Post a Comment

Maoni yako