November 13, 2017

LULU ATUPWA JELA MIAKA MIWILI

"KILA mchezo huwa na kanuni zake. Kama mapenzi ni mchezo basi wivu ni moja ya kanuni zake. Kama mshitakiwa alijua kuwa marehemu alikuwa na wivu uliokithiri, basi alipaswa kuishi naye kutokana na hali hiyo"...

JAJI S RUMANYIKA.
Mahakama kuu leo. 13. 11. 2017.

NB:…Pole sana Lulu. Umepitia mambo mengi makubwa kuliko umri wako.
ELIZABETH MICHAEL "LULU"

No comments:

Post a Comment

Maoni yako