January 06, 2018

SOMO LA LEO; UONGOZI WETU NA JAMII

"Viongozi wa nchi wana jukumu la kuwahudumia watu wao. Tunapompigia kura mbunge, ni jukumu lake kutusikiliza. Haikubaliki kamwe kwa wao kuketi katika ofisi zao na wasijue hata bei ya nyama au kilo ya mchele, au hata kutojua jinsi ilivyokuwa vigumu kwa watu kuishi vizuri"
 
-- Parvaneh Alizadeh.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako