February 17, 2018

SOMO LA WIKIENDI

....Haijalishi umefanikiwa kiasi gani, daima kuna watu wanaotaka ufahamu kuwa bado uko chini yao. Inategemea unavyowachukulia, lakini inakubidi ukubali kwamba hawastahili hata kufunga kamba za viatu vyako. Waheshimu, lakini wasikutawale,

--MARKUS MPANGALA

No comments:

Post a Comment

Maoni yako