September 17, 2007

Kwa ufupi leo

Ni kwamba nipo katika chuo kikuu hapa mlimani katika tawi la chang'ombe,si unajua tena mambo ya kusaka elimu ya dunia hii.Basi ni kwamba kabla sijaandika kuhusu nyasa ngoja nidokoe japo kidogo.
Lero nipo hapa chuo kikuu nafashughulikia masuala yangu ya ya masomo si unajua dunia ya sas bila kusoma kazi bure tu ndugu yangu lakini kuisoma ni maarifa si vyeti.
Ndiyo nipo katika elimu juuuuu zaidi.Achana na hilo halihusu kabisa kuhusu nyasa bado nafanya upembuzi yakinifu kwa mahitaji ya wasomaji

3 comments:

  1. we vipi toka useme unatuletea habari za huko nyasa imekuwa kimya maana yake nini.hizi za chuo hatuzitaki tunataka habari mpya kamaulivyojionyesha katika blogu yenyewe ili tukaribie huko nyasa

    ReplyDelete
  2. imenikera sana kutuambia habari kama hii kwani huo ndio mapango wako? tupe habari za huko unakokupenda kupita kiasi ili nasi tujue.

    ReplyDelete

Maoni yako