September 17, 2007

Uzuri Wa Ukanda Wa Nyasa

Kwa kawaida ni ngumu kukubalina na hoja kwamba maeneo ya vijijini kuna uzuri wake licha kuwa na tabia za kijijini.kwanini nasema hivyo kwasababu mara nyingi wageni husasni wazungu wakija maeneo haya huvutiw na mandhari yake,si hao pekee kun a wenyeji huvutiwa zaidi ya kuona kila siku mana ni burudani tosha katika ulimwengu mzuri wa raha kama nyasa.Ni muda huohuo ninaoufanya kuifurahia hali ya hewa na uzuri wake.
Kweli maeneo haya yanapendeza sana licha ya kuwa na tabia za vijiji,ambavyo nchi yetu haifanyi juhudi za kuendeleza vijiji vyake.Kama nilivyosema awali kwamba ni wakti wa kuonyesha hali yake nzuri na furaha ya ukanda wa nyasa ulivyo maana ni burdani tosha katika maisha ya kila siku ya wanyasa ambao hujituma kwa kuafanya kazi za kuleta maendeleo yao.Tuatoana kila eneo la kijiji na shughuli zake za kila siku.

2 comments:

  1. eeh ndiyo mageni na raha za kutembelea blogu kama hizi zenye mambo tofauti

    ReplyDelete
  2. ni kweli bwana acha tufurahie mambo mapya maana unaonekana kuwa mwanafunzi mzuri wa ndesanjo

    ReplyDelete

Maoni yako