September 15, 2007

Ukanda Wa Nyasa Na Ukweli Wake

Ni kawaida kuita maeneo ya vijijini kuwa hakuna maendeleo,lakini ukiuliza maendeleo hayo yanaletw na na nani ni vigumu kupata majibu yanayoshawishi.

Maendeleo hayaanziii katika jiji bali hunza na mtaa kisha kijiji na miji na majiji,hivyo basi nitajaribu kueleza kinaga ubaga maeneo ya ya vijiji mbalimbali vya mwambao au ukanda wa ziwa nyasa na shughuli zao za kiuchumi.

Lakini vitahusu vijiji vya mkoa wa Ruvuma hususani wilaya ya mbinga na kisha tutaona vijiji vingine na historia ya makabila ya maeneo ya wilaya hiyo hivy ni vyema nikajiandaa vilivyuo ili kutoa maelezo sahihi kwa kila kijiji na shughuli zake.

3 comments:

  1. Hakika nimeandaa kitu kizuri kilichopo maeneo ya kwetu Nyasa.na namna ambavyo shughuli za mahangaoko ya kujiomboa kimaisha yanavyofanyika

    ReplyDelete
  2. Ndiyo ni vyema ukafanya hivyo kuliko kuandika habari za mijini na maendeleo yasiyo na tabia kufuata utamaduni.
    tuasaidie na sisi wenye asili ya huko lakini hatujawahi kuja.mungu akubariki

    ReplyDelete
  3. Hakuna jinsi zaidi kusambaza maaria na kazi zinazofanywa huko kwetu maana ni jukumu letu wananchi mimi na wewe

    ReplyDelete

Maoni yako