September 23, 2007

Nyasa Na Mazingira Yake

Ukanda huu kama nilivyosema awali kwamba una mengi ya kujivuni licha ya ziwa hilo.
Eneo hilo lina shughuli nyingi tu ikiwemo kilimo,ufugaji,uvuvi ambao ndiyo nguzo.
Sasa ukanda huu una mambo ya kujivunia sana kwani hakuana matatizo ya njaa kwa wakazi wake hivyo ni maeneo yenye adhi nzuri na maandhari yenye kuvutia kwa wageni na wenyeji
pia bila kujali asili.Taratibu tuitaingia katika uchambuzi wa vijiji na miji midogo ya eneo hilo ambalo nisehemu kubwa inayounda jimbo la uchaguzi la Mbinga magharibi na wakazi wake ni wanyasa ambao mchanganyiko wake wengine ni kutoka Malawi au wenye asili ya huko lakini
raia wa Tanzania,kwani ukiuatilia asili yao wengi wanaishi nchini Malawi au kuna uhusiano
kati ya wanyasa wa Tanzania na wale wa Malawi licha ya ukaribu wao.

2 comments:

  1. ni kweli tunahitaji mambo mageni masikioni mwetu kama hili unaloekea kulizungumzia sasa lakini usije ukaleta simulizi za kihuni hapa

    ReplyDelete
  2. leta mambo mapya kama haya maana tumechoka simulizi za kila siku

    ReplyDelete

Maoni yako