June 04, 2008

Ghorofa hilo! Wivu wa nini,Unacheka una Mwanya?

hapo sina hata maelezo ila wanyasa wanajua umuhimu wa kupumzika ndiyo maana wakajenga ghorofa hilo limegharimu hela nyingi sanajumlisha na za wale wezi wa wa benki kuu na yule Rais mwizi aliyemaliza muda wake mwaka 2005!unamjua?aakaa mie simjui nasikia alikuwa kibaka sana.unacheka,unaringa una mwanya....???

1 comment:

  1. safi sana maji karibu na pia kupata samaki ni karibu akuna kutembea kwa muda mrefu.

    ReplyDelete

Maoni yako