June 03, 2008

Yule Mapunda Mpishi wa Kwenye Meli

Huyu ni mpishi wa shibe zetu ndani ya Mv Songea analonga na Mshashi.Yaani Mshashi hapo kagota hana mikogo shauri mambo ya nyasa siyo mchezo,Hebu waone wanavyoringa ndani ya Mv Songea hawana hata hofu juu ya Meli.Ziwa nyasa usafiri wa kutosha kama huu watu wa aina mbalimbali toka ughaibuni wanafurahia nyasa kazi kwako...mmmh usije najisifia kwa Washashi yaani wanyasa tuna ukarimu na msimamo hapo mshashi lazima adumishe nidhamu hakuna kuleta zake maana wanyasa kwa ngumi huwatoi si unajua kazi zao za uvuvi na kina dada mahiri na wakakamavu

1 comment:

  1. Anonymous03 June, 2008

    mfundisheni basi ale na mikono acheni kuwadekeza. Asante sana kwa kunikumbusha nyasa

    ReplyDelete

Maoni yako