June 03, 2008

Kitoweo.....Habari ndiyo hiyoooooooooo

Nashindwa hata kuongeza maneno mengi,jamani nyasa ni zaidi ya mnavyofikiri,Hivi niseme nini ili watu wapete kunielewa na nifanye nini ili niweze kuinua maisha ya nyasa...njoooooni muone....huyu samaki maarufu kwa jina Lingova ila wakiwa mengi tunasema Mangova.Aina ya Samaki hawa hupatikana zaidi nyakati za masika kwani ndiyo uzao wao hushamiri na kuenea zaidi.Picha hii kwa hisani ya rafiki zangu wapo pale Monkey Bay Malawi walinikuna sana waliponitumia nami naiweka hapa

1 comment:

  1. Anonymous03 June, 2008

    Oooongoh mie nilidhani ni kindongo wengi vindongo.Ila kwa kweli ni zamani nimeondoka nyasa kiasi kwamba hata majina ya samaki nayasahau. sasa huyu samaji anapendeza mpaka naona huruma kumla.

    ReplyDelete

Maoni yako