June 03, 2008

Hawa Nao Wamo ......karibuni Nyasa

hapa ni Matema beach pembeni ya mji wa Kyela.Kuna ufukwe mzuri sana yaani ukanda wa ziwa hili ni utamu sana,Huyu Mshashi naye yumo katika kujiburudisha.Kairibuni nyasaaaaaa

1 comment:

  1. Anonymous03 June, 2008

    haya bwana tunafunga mabegi tupo njiani

    ReplyDelete

Maoni yako