September 04, 2008

njaa inauma sana waungwana? karibuni kitoweo

shibe mwana malevya..... njaa mwana malegeza..... kulala na njaa kupenda....

4 comments:

 1. mmh magege hayo au? umenitesa kweli ila we ngoja tu nipo njuiani nakuja hukohuko nitawala kweli mpaka.......sisemi sana

  ReplyDelete
 2. somba, nchomba, fish, fisk, samaki, pescado ni chakula changu ambacho nikipenda sana

  ReplyDelete
 3. Ukisikia kutakiana ubaya ndio huku kuweka picha za kututamanisha. Samaki wamenona hao nawatamania.

  Zikomu
  Mama Malaika

  ReplyDelete
 4. Somba, Ugali wa muhugo, jamani nimekumbuka kunyumba leo!

  ReplyDelete

Maoni yako