September 06, 2008

umewaona hawa jamaa vema?

kwahiyo hawa jamaa yaani mama na mwana wanataka kushindana na mimi. hiyo olimpiki nawaambi kasi mlete daktari wa kuwatibu au natania? ndiyo nao wanajiandaa kwa olimpiki ijayo huko London kwa Toni BULEYA na mwenzie Godoro la KAHAWIA pamoja na MALIKIA ELIZETI. nakwambia hamnipiti mnajua dawa za Lupocho,Ntambitambi,Ngelengana,Matungulusi,na N'kwanchu? nakwambia. haya njooni huku nyasa muone jasho na damu... lakini nawapenda sana eti eeeh. Sitaki naona mnataka kuniharibia maandalizi{natania}. oooo nipo bize marafiki tuonane labda London kwa siku moja tu tutaongea najua hiyo hali hampendi lakini nina mambo mengi....nina mzizi ya kila kitu nawaambia mtavua jezi hizo sawa?{natania}

1 comment:

  1. katika picha inaonekana wamejiandaa kweli kwa hiyo inabidi ujitahidi sana kama unataka kuwapita.

    ReplyDelete

Maoni yako