October 04, 2008

jamani vipi mmekwisha kusahau mwezi huu?

Jamaa huko ughaibuni wanasherekea historia ya mtu mweusi(waafrika) ndiyo ni huko uingereza kwa makamu mweyekiti wa viongozi wezi wa kura na waongo bwana Godi Blauzi sijui ni kinara mkuu wa uingereza.kumbuka mwenyekiti wa marais waongo na wezi wa kura ni Joji Kichaka kule washing..... huko majuu wanasherekea historia yetu watu weusi mwezi huu oktoba eti disko litakuwa huko Leicester sikwea na palase sijui. Historia yenyewe wanaipotosha kuhusu mtu mweusi tangu kule Misri. ndiyo maana nimeweka mtandano wa DAILY MOTION mjionee ukweli wetu watu weusi

2 comments:

  1. Nimepatwa na hali fulani ambayo siwezi kuelezea, kazi kweli

    ReplyDelete
  2. sema kabla hujashtakiwa kwani kushindwa kuelezea ni kosa la jinai au natania?

    ReplyDelete

Maoni yako