October 04, 2008

OKTOBA ni mwezi wa historia ya afrika

nadhani mwajua yanayojiri kwamba ni mwezi wa historia ya afrika huko Uingereza. Mwezi Februari ni huko Marekani. Lakini swali, JE HISTORIA YA AFRIKA IMEANDIKWA IPASAVYO? NI KWELI KWAMBA USTAARABU WA AFRIKA ULIANZIA MISRI, LAKINI NI KWELI KWAMBA MISRI HAWAKUISHI WATU WEUSI AU MAPIRAMIDI HAYAKUJENGWA NA WEUSI? tafakari
Jikomboe. Uhuru daima

2 comments:

  1. kumbe asante kwa kutujulisha wengine ambao tulikuwa hatujuii.ila kwa nini unaanzia na Misri....

    ReplyDelete
  2. unaijua historia ya ustaarabu wa afrika? unajua kwamba ustaarabu wetu waafrika ulianzia Misri? hapo ndiyo kitovu kwahiyo waongo wanadai kwamba hawakuwahi kuishi watu weusi. soma hapo Daily Motion uone. nitakutumia uchambuzi wangu

    ReplyDelete

Maoni yako