October 07, 2008

uzuri+utulivumapenzi+upendo=karibuni nyasa

jamani maneno yanakwisha sasa nisemeje........... aaaah wapi nikose maneno. karibu nyasa jamani

2 comments:

  1. Ni kweli naona kumetulia kweli. kuzuri, hapo mtu unaweza kuwa na mapenzi pia upendo na pale ulipozaliwa.

    ReplyDelete
  2. kwani wao wameweza wananini hata mimi nishindwe nina nini? ha ha ha ha mapenzi upendo mahaba kunoga na utamu nyasa karibuni

    ReplyDelete

Maoni yako