October 04, 2008

UZURI ZAIDI

3 comments:

  1. jamani kwa nini mbona nimesema mara nyingi nipo huku na bia yangu mkononi hamniuni yaani kweli uzuri unazidi. njoeni

    ReplyDelete
  2. kila siku nakukataza tabia yako ya kunywa mipombe wala husikii sijui nifanye nini. ningekuwa na uwezo ningekuwa kuzaba makofi kila unapokunywa funda la bia. wala sina wivu ina ukilewa wala usiseme nisaidie, tafadhali sana

    ReplyDelete
  3. unamkataza wewe nani? acha mkwara wewe si unajua walevi ndiyo zao kujinye*****

    ReplyDelete

Maoni yako