November 25, 2008

moja ya mtaa hapa Mbinga

4 comments:

 1. kaka mpangala vipi umechanganyikiwa? kama siyo naomba ufafanue sijakuelewa.

  ReplyDelete
 2. hivi hapo sio kigonsera? au ndo nimepotea kabisa

  ReplyDelete
 3. afafamue nini wakati picha ni hiyo hapo kwani vipi

  ReplyDelete
 4. Kigonsera pale penye sekondari?mbona napafahamu nimesoma pale ila hakuna majengo kam yanayoonekana hapo.

  Jofrey Njovu
  Mbinga.

  ReplyDelete

Maoni yako