November 23, 2008
karibu tunakula, sijui utakifurahia chakula chetu..
hebu tazama nyuso za walaji hawa, watazame kwa umakini kisha sema mwenyewe wapo katika hali gani. Kuna jambo unalojifunza? Inakufikirisha kidogo? Tunahitaji kuanza upya mapinduzi? JIKOMBOE SASA, UHURU DAIMA.
Madhumuni
kumbukumbu,
maisha,
Nyasa,
urafiki
WASIFU: Mwandishi wa Habari,Tawasifu,Mhariri na Mchambuzi wa Vitabu,Siasa, Utamaduni, Michezo,Afrika, Kimataifa,Mshauri wa Habari na Mikakati. TUWASILIANE: mawazoni15@gmail.com, lundunyasa@yahoo.com. WHATSAPP; +255 719226293/SMS; +255 764 936655
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wanaonekana hawana furaha ni lazima watakuwa watoto yatima. Na huyo mama kwa moyo mkunjufu amejitolea kuwatunza. tunahitaji watu wengi kama huyo mama. Pia kunahitajika kujenga shule au nyumba ambazo watoto hao waweze kuishi. kwani ndio TAIFA la kesho
ReplyDeletehuu ni mtazamo wangu.
angalia hawana furaha wanakula kwa mwanga gani, wanakula chakula gani au kile cha CCM= Chai Chapati Maharage? sijui labda wenzangu mnaona kitu lakini mimi nabaki hola, ndiyo maisha yetu, lakini je tumechagua kuishi hivi?
ReplyDelete