April 17, 2010

SIRI

HIVI KUNA SIRI YA WATU WAWILI? KWANINI?

3 comments:

  1. Kaka Markus....kwa uzoefu wangu wa maisha...naona hakuna kabisa. Ila huwa sifahamu kwa nini watu hatupendi kufunga midomo tukiaminiwa jambo!

    ReplyDelete
  2. Mimi nafikiri siri ni ya mtu mmoja, pale inapozidi sio siri tena! Ila mnakuwa na jambo mnalolifahamu. Mambo yakienda mrama jambo hilo linaweza kufichuliwa

    ReplyDelete

Maoni yako