Tangaza Biashara yako. Tunakaribisha Matangazo ya aina mbalimbali. Mawasiliano zaidi piga simu namba +255 628994409 au +255 692 555 874

April 21, 2010

NIPO BONGO, SIPO BONGO

Kwakuwa maisha ni harakati , na wakati mwingine inakuwa ngumu kujiuliza kwanini ni harakati basi hata harakati zenyewe zinaweza kuhamia mazingira mengine mfano kata, tarafa,wilaya,mkoa,manispaa na jiji. Na pengine nchi nyingine. NIPO BONGO AU SIPO BONGO= Nipo kando ya Blogu na BONGO pengine UTANIKOSA SANA HAPA, LAKINI NIPO BONGO INGAWA SIPO BONGO

NITAKIE UZIMA BASI AU

1 comment:

  1. hapo nahisi kama upo kando ya blog, mmmhh basi bwana kila la kheri na uzima tele huko uliko na urudi salama. Usisahau vindongo:-)

    ReplyDelete

Maoni yako