April 30, 2010

NI MAISHA YAKO??

                                                               NIPO NAWAZA SANA
Kwanini ni maisha yako? Je marafiki zako hawana maisha yao? Kama ni Maisha yako, marafiki wa nini? Kwanini uwahitaji watu wengine endapo una maisha yako?

Kweli! Wewe ni wewe na hakuna anayefanana na wewe. Sasa kwanini useme ni maisha yako?

Ni maisha yako? Mume/mke wa nini kama unayo maisha yako? Jirani wa nini kama unayo maisha yako?
KUMBE ni maisha yako? Wengine je hawana maisha yao?

3 comments:

  1. Hata kama ni yako lazima pia uyapigania na maisha ya wengine maana duniani huishi peke yako.

    ReplyDelete
  2. Ndiyo maisha ni yangu yaani yangu mimi lakini ni maisha ya watu wengine pia .

    ReplyDelete
  3. Kwani hao marafiki, waume, wake na wengine wote....si ni "sehemu" pia ya "maisha"...(ya mtu yoyote yule)...AU?...:-)

    ReplyDelete

Maoni yako