June 03, 2010

NIKUPE NINI??

Moja ya wasanii wa Mukirikiri, ila samahani nimeshindwa kutamka kwa ufasaha jina lao. Jamani ugonjwa wangu wa utamaduni ulinifanya nitulize 'boli' hapa kwa kujinufaisha na kujipendelea kutazama tu aina ya mvao wa kitamaduni.
Angalia na hapa chini kidogo iko vipi kadiri utazamazpo?
Mimi naona vizuri a.k.a African Bantu hadi nimemkumbuka Bambuu, yule mwanamuziki wa Kenya. Mwenye namba yake ya simu au anuani pepe naomba tafadhali..............Lol

3 comments:

 1. Mtoto mzuri kama huyo mi naweza hata kumhonga uwanja mpya wa taifa uwe mali yake ilimradi tu anipe uhakika wa kinacho.

  ReplyDelete
 2. Watu hawajui tu na kama wanajua basi wanajifanya hawataki utamaduni wao. Utamaduni wetu una uzuri wake- Mtani.-)

  ReplyDelete
 3. Anonymous10 June, 2010

  uhonge uwanja unajua bei yake we una njaa tuu ule uwanja b karibu nane

  ReplyDelete

Maoni yako