June 03, 2010

HAPPY BIRHDAY ERICK T.K

Wazazi wema,
wanakulea vema,
hekima njema,
malezi mema.
Mungu ni mwema
akulinde vema

Nipo nawe daima
kwa mbio au muziki.
HAPPY BIRTHDATE ERICK@10 ni pazuri, kuwa na wazazi wema na wenye hakima na akili. Ubarikiwe mwana, usiache kukimbia, uwe kama mama na baba walivyo wema.

3 comments:

 1. Uwe na maisha marefu,
  Tabia njema kusadifu,
  Eric watu watakusifu,
  Kwa tabia ilotulia.

  Mungu wetu akubariki,
  Uwe na wema marafiki,
  Daima akwondolee dhiki,
  Uifurahie dunia.

  Heri siku ya kuzaliwa,
  Yalo mema waombewa,
  Kila kitu kiende sawa,
  Uwe na afya njema pia.

  Anko Fadhy.

  ReplyDelete
 2. Markus sante kwa kumtakia heri Erik kwa siku yake hii ya kuzaliwa.Asante kwa kuonyesha upendo wako katika familia hii.

  Mtani Fadhy nawe haupo nyumba beti nzuri kumtungia ahsante sana.Huu ni upendo wa pekee kabisa. UPENDO DAIMA.

  ReplyDelete
 3. Asante sanna mjomba Markus

  ReplyDelete

Maoni yako