June 07, 2010

HAPO VIPI?

Raha jipe mwenyewe
Nafikiri kufanya kitu unachokipenda ni kumbukumbu nzuri sana. Na raha kuwa na kumbukumbu adhimu kama hizi. Niliwahi kuiweka picha hii katika posti za nyuma, lakini baada ya kupitia upya nimeona niirejeshe hewani pia. Kila nikiangalia inanikuna na kunikumbusha mengi sana kuhusu watoto na michezo yao ya utundu.

3 comments:

 1. Dah mtani hiyo ni babkubwa

  ReplyDelete
 2. Kazi nzuri sana juu ya blog hiiRegards ... De
  Abstraction maandiko na kutafakari.

  ReplyDelete
 3. hapo ningeshaanguka zamani...

  ReplyDelete

Maoni yako