July 21, 2010

KARIBUNI NYASA- jamani!

Ukitokea kijiji cha Mbaha kuelekea Ndumbi utakutana Pwani hizi zinazokuonyesha uelekeo wa Lituhi.
Hapa unaona mlima kwa mbaliiiiii, ambako ndiyo Lituhi. Lakini ardhi iliyoingia ziwani inaitwa Folk Land ni eneo la Lituhi. Pna historia sana hapa kwa uvuvi wa MBASA
Karibuni

3 comments:

  1. shemeji eikeiei mtani huyo samaki mbasa kusema cha ukweli unanikumbusha mbali sana mjini Kyela miaka ya ujana wangu

    ReplyDelete
  2. Nilijua tu kutamanisha wengine hapa ulimwenguni hakutaisha milele. Mtani Fadhy umenichekesha ha ha haaaaaaa eti wakati wa ujana wangu, ina maana sasa umezeeka???? haaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  3. Mkuu tutafuatane mimi natafuta kiwanja sehemu hii vibaya sana! princeofmbezi@gmail.com

    ReplyDelete

Maoni yako