July 24, 2010

KUTOKA BAGAMOYO waungwana

                                                                      DARASANI
DARASA
Nipo hapa mjini huu wa watu wetu. Wakati nimetoka chumbani na kuingia chumba cha kupumzika nikaona nichezea Kompyuta kidogo tu. Nimekaa katika hii kompyua nimefanya ukaguzi nimeona picha hizi, hivyo siyo vibaya tukashirikishana katika KUWAZA na KUJADILI MUSTAKABALI wa vijana hawana...........,...

3 comments:

  1. sidhani kama hapo wataweza kusoma kwa umakini, angalia jinsi walivyokaa, na kuandika watainama na kuandika au?

    ReplyDelete
  2. Halafu hao wanafunzi, walimu wao na wazazi wao unawaimbisha ngonjera za maisha bora. Halafu unawaambia hali ya maisha imeimalika sana. Halafu unawaambia Tizedi ina neema. Halafu unawaambia nini kingine...nishasahau.. Umesema tuwaze pamoja? Mbona mie akili inagoma kuwaza? Basi kwa heri shemeji.

    ReplyDelete
  3. Anonymous25 July, 2010

    Kuna mambo mengine waTanzania inabidi tujiulize kama kweli tunafanya mambo kiakili au vipi. natanguliza kuwa mimi sio fundi wa ujenzi wa aina yoyote, lakini katika picha hii naona kuwa cha zaidi katika kujenga haya madarasa, udongo, nyasi, na mbao tu ndio zimetumika. Wazazi wanaowapeleka wanafunzi hii shule, kweli kweli hawawezi kujitolea kufanya ujenzi, hapa, haitajiki Chief Engineer kusimamia. mambo mengine jamani ni jamii kuamua tu...

    Uchaguzi ndio huo unakuja, viongozi mmaoingia maofisini, basi elekezeni nguvu zenu kuijenga Tanzania.

    ReplyDelete

Maoni yako