September 26, 2010

USIPITWE; MAONYESHO YA KIMATAIFA BAGAMOYO SEPTEMBA 27-KESHO

Nimetua kwenye mji huu. na sitanii hali naona pilikapilika zinaongezeaka sana. Lakini ni za kwaida tu. Kwahiyo wewe unapenda sanaa? Unangoja nini sasa mambo yanakujia kesho kuna watu wengi hapa ambao wanazo dalili za kuwa wamekuja kama mzee wa lundunyasa kushadadia utmaduni wa mtu mweusi na kujua tamaduni za wale jamaa zangu wenye ngozi inayobadilika badilika kila wanavyozidi kuzeeka wenyewe wanajiita wazungu..... mimi huwaita wasungu. Ni maonyesho ya 29 ya kimataifa kuhusu sanaa. yanafantika mji huu kwa mara nyingine.
Usipitwe karibuni jamani au vipi? Nimeingia nipo hapa kwa raha zangu. Kazi kwako

2 comments:

  1. ahsante kwa taarifa hii. Sitakosa kuja kuangalia

    ReplyDelete
  2. Naupenda mji huo ingawa sijawahi kufikisha masaa 24 ndani ya hapo na sijui kwanini.:-(

    ReplyDelete

Maoni yako