November 12, 2010

HAMJAMBO WAUNGWANA

Ningeweza kusema mengi, lakini kwa hakika nimekabiliwa na masuala nyeti sana. Najua kuwa blogu yangu nayo ni laiki yangu kuifanya nyeti. Lakini naamini nikikamilisha haya, na nikiwa porofesa au dakitari wa bin tabibu wa falisafa a.k.a mwanafalisafani, haki na nani nitakuwa mwenyekiti wa kijijini kwetuuuuuu!
Waungwana nawasabahi sana, namshukuru rafiki yangu kwa knitumia hii kitu, nami nawaambia ninyi. MANI IWE NAYI DAIMA

6 comments:

  1. Nashukuru umetafakari na kuja kutusalimu kwani ni muda sasa. Twashukuru kuwa upo ok. Uwe na wakati mzuri na Mungu awe nawe katika yote utendayo. Usengwili mlongo kutulamukila.

    ReplyDelete
  2. Yako tumeyasikia, haya, tuambie, umempeleka wapi Koero?

    ReplyDelete
  3. Nashukuru waungwana. Jamani Koero sijamficha, yuko makini na kazi. Mwanamke shughuli jamani, maana wabongo hatukawii kusema ooooooooh mzee wa lundunyasa kaoa mwanamke anakaa nyumbani na kujipodoa,kupaka wanja,lipustiki n.k,
    Da! Subi si itakuwa haibu jamaniiiiii. Koero yupo sana atarudi punde maana ile kazi anayoifanya hakika anachoka sana naamini atarejea nitamwambia apunguze shughui bin kushughulika

    ReplyDelete
  4. Hatujambo Mkuu!Kila lakheri Mkuu katika ufanyalo!

    ReplyDelete
  5. Asante kwa majibu ya kuondosha wasiwasi Markus. Yote yawe ya heri!

    ReplyDelete
  6. Mhhh angalau tumepumua, manake tulitaka kukodi wapelelezi binafsi wajue kulikoni? Hata wengine tukataka kutunga kisa cha adimiko lako! Pole namajukumu na natumai tutakuwa sote tena!

    ReplyDelete

Maoni yako