Picha: Egbart Jeremy
September 22, 2012
MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHETU CHA LUNDU WILAYA YA NYASA
MABOMBA YAKIWA TAYARI KWAAJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA LUNDU KATIKA WILAYA MPYA YA NYASA. INGAWA KIJIJI HICHO KIPO KANDOKANDO YA ZIWA NYASA TATIZO LA MAJI NI KUBWA SANA KWANI NI ASILIMIA MOJA TU NDIO INAPATA MAJI SAFI MRADI HUO NI UKOMBOZI MKUBWA SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako